SANCHEZ RASMI NDANI YA MAN U, MASHABIKI MENO NJE Baada ya mshambuliaji Alexis Sanchez kukamilisha uhamisho wake kujiunga na Man United. Sanchez, 29, anakuwa na mshahara mkubwa zaidi katika kikosi cha Man United inafikia pauni 600,000 kwa wiki. Yaani £350,000 ni mshahara, £100,000 ni haki ya picha na £144,000 bonas. Kama ni mshahara pekee bila vitu vingine, bado yeye anaongoza. WANAOONGOZA KWA MSHAHARA MAN UNITED NA MAN CITY Sanchez: £350,000. Paul Pogba – £290,000, Romelu Lukaku – £250,000 Zlatan Ibrahimovic – £220,000 Manchester City: Sergio Aguero na Yaya Toure -£220,000. HAKI YA PICHA – £100,000(KWA WIKI) BONAS-£144,000 (KWA WIKI)
Posts
Showing posts from January, 2018